Kumbukumbu: Ziara ya Kumnadi Ndugu Shelembi Shinyanga Mjini
...........................................
Shelembi Magadula, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Diwani Manispaa ya Shinyanga na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA amefariki dunia. Muasisi wa CHADEMA, nguzo ya CHADEMA mkoani Shinyanga na mpiganaji asiyeyumba. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
Habari Na Picha Kwa Hisani Ya Zitto Kabwe
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)