MWANDISHI MKONGWE JOSEPH ASAMA AZIKWA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MWANDISHI MKONGWE JOSEPH ASAMA AZIKWA ZANZIBAR


                     Marehemu Joseph Asama                 
MKE wa marehemu Joseph Asama,Bi Beatrice Asama akiweka shada la maua katika kaburi.
WAUMINI wa Madhehebu ya Anglikana wakiwa katika Misa ya kuuombea Mwili wa Marehemu Joseph Asama katika kanisa la Anglikana Mbweni.
WANANCHI walioudhuria misa ya kuuombea Mwili wa Marehemu wakiwa kanisani Mbweni. Jaji Augustino Ramadhani pia alikuwepo
WATOTO wa Marehemu wakiwa mbele wakiusindikiza mwili wa baba yao baada ya kumalizika kwa ibada iliofanyika katika Kanisa la Anglikana Mbweni, baada ya kufanyika ibada ya mazishi. 
WAUMINI wakiuweka mwili wa Marehemu Joseph Asama  kaburini tayari kwa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe. 
ASKOFU Mstaafu  wa Kanisa la Anglikana John Ramadhani mwenye kitabu akiongoza maziko ya Joseph Asama katika Makaburi ya Mwanakwerekwe. 
 MAMA mdogo wa marehemu Brigita Ramadhani akiweka shada la maua kwa niaba ya familia yake.
 WANANCHI wakiwa na nyuso za simanzi  wakati wa mazishi katika viwanja vya makaburi ya Mwanakwerekwe
JAJI Mkuu Mstaafu wa Tanzania Agustino Ramadhani akisoma risala ya wasifu wa marehemu baada ya kumalizika maziko katika makaburi ya Mwanakwerekwe jana.Picha Zote na Mdau Othman Maulid Othman-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages