MVUA INAPO SABABISHA KERO KWA WAKAZI WA JIJI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MVUA INAPO SABABISHA KERO KWA WAKAZI WA JIJI

Wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakipishana kwa tabu katika kibaraza cha moja ya duka lililopo Posta Mpya leo mchana kutokana na maeneo mengi ya jijini kujaa maji na kusababisha usumbufu kwa wakazi wa jiji. Wakazi wengine hawa wakipata tabu kupishana katika eneo hili la Posta mpya.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages