Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali wa Polisi Said Mwema akitoa heshima ya mwisho wakati wa mazishi ya Askari namba E.9530 D/C Joseph aliyeuwawa na wananchi Aprili 20, mwaka huu katika Kata ya Mwakashahala, wilayani Nzega, Tabora.Anayefuata ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Joyce Mgana.
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema akiweka mshumaa katika kaburi la Askari aliyeuwawa kwa kupigwa na wananchi katika Kata ya Mwakashahala, wilayani Nzega, Tabora. Mazishi hayo yalifanyika jana katika kijiji cha Manda Kerenge, wilayani Nkasi, Rukwa.Picha na Baraka Amiri-Jeshi La Polisi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)