MAMBO YA PASAKA HAYO KATIKA UFUKWE WA COCO BEACH - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMBO YA PASAKA HAYO KATIKA UFUKWE WA COCO BEACH

Kama kawaida, wakati wa Sikukuu za Kitaifa, wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam hufurika katika ufukwe wa COCO uliyopo Oysterbay jijini Dar kwa lengo la kupunga upepo mwanana na kuogelea kama camera za mtandao huu zilivyowakuta wananchi hawa wakifurahaia Sikukuu ya Pasaka...
 
...ULINZI WA KUTOSHA

PICHA: Richard Bukos/GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages