MALORI YAKWAMA BARABARA YA KILOSA - MKATA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MALORI YAKWAMA BARABARA YA KILOSA - MKATA


Magari ya mizigo yakiwa yamekwama kwenye barabara ya Kilosa-Mkata mkoani Morogoro baada ya barabara hiyo kuharibiwa na mifugo inayopitishwa, ikiwa ni pamoja na mvua za masika zinazoendelea kunyesha kama ilivyokutwa Alhamisi.Picha na John Nditi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages