Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiweka udongo ndani ya kaburi wakati wa Mazishi ya aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zanzibar Marehemu Rahma Mshangama, aliyefariki Dunia hafla juzi mchana na kuzikwa jana kwenye Makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar. Picha na Amour Nasor-Ofisi ya makamu wa Rais
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)