LUKUVI AZUNGUMZA NA BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LUKUVI AZUNGUMZA NA BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Uratibu na Bunge) William Lukuvi akizungumza na wafanyakazi wakati akifungua kikao cha tisa cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dodoma jana. Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Uratibu na Bunge) William Lukuvi (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao cha tisa cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dodoma jana. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages