CHADEMA WASITISHA MAANDAMANO NCHINI TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHADEMA WASITISHA MAANDAMANO NCHINI TANZANIA

     Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendleo(CHADEMA)
Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)kimesitisha maandamano siku ya kesho kutokana serekali kukubali kuongeza muda wa kujadili muswada wa katiba mpya.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages