MABAKI YA HIACE ILIYOGONGANA NA BASI LA NGORIKA ARUSHA JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MABAKI YA HIACE ILIYOGONGANA NA BASI LA NGORIKA ARUSHA JANA

Baadhi ya wakazi wa Makumira na maeneo jirani mkoani Arusha,wakiangalia mabaki ya basi dogo aina ya Toyota Hiace namba T 373 BGT baada ya kugongana na basi la Ngorika namba T 633 ANF katika eneo hilo Ijumaa.Picha na Marc Nkwame

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages