Maranda akisubiri kupanda kizimbani.
HUKUMU ya kesi ya fedha za EPA iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara Shaban Maranda na wenzake iliyotarajiwa kutolewa leo katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam imesogezwa mpaka Mei 23 mwaka huu.
Hukumu hiyo iliahirishwa na hakimu Mustafa Siami kwa sababu mahakimu wa jopo lililotakiwa kutoa hukumu walikuwa safarini.

Mfanyabishara maarufu Devendra Patel a.k.a Jitu Patel ambaye naye anakabiliwa na kesi ya ufisadi (EPA) akitabasamu mahakamani hapo.
Mapaparazi wa vyombo mbalimbali ‘wakimfotoa’ Maranda baada kesi hiyo kuahirishwa.
PICHA: RICHARD BUKOS /GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)