HARUSI YA MTOTO WA MFALME...PRICE WILLIAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HARUSI YA MTOTO WA MFALME...PRICE WILLIAM

Prince William (kushoto) na Catherine, wakitazamana mara baada ya harusi yao iliyofanyika leo, katika Kanisa la Westminster, katikati ya Jiji la London, Uingereza.
 
David Beckham na mkewe Victoria 'Posh' wakiwasili harusini hapo.
 
Sir Elton John (kushoto) na 'mwenzie' David Furnish nao wakiwasili.
 
Mama wa bibi harusi, Carole Middleton akiwasili katika Kanisa la Westminster kwa ajili ya harusi.
 
Watu wakifuatilia kwenye runinga tukio hilo la aina yake huko Hollywood, California.
Picha zote kwa hisani ya AFP/Getty Images

1 comment:

  1. Anonymous6:18 PM

    Umetisha lukaza!
    em kamgisha from UDOM

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages