FIESTA SOKA BONANZA LARINDIMA JIJINI MWANZA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FIESTA SOKA BONANZA LARINDIMA JIJINI MWANZA LEO


Jeshi i la polisi limetoa msaada mkubwa kwenye maandamano haya ya Fiesta Soka Bonanza katika suala zima la usalama barabarani,kama umuonavyo askari huyu wa usalama barabarani akitoa eskoti kwenye maandamano hayo mapema leo asubuhi jijini Mwanza.
Mashabiki Wa Man u wakitamba barabarani.

Mmoja wa wafanyabiashara akiwa amesimama barabarani akishangaa maandamano ya Fiesta Soka Bananza yakipita barabarani kutoka uwanja wa Nyamagana na kuelekea uwanja wa CCM-Kirumba.
Golden Moment ya dereva Tax huyu ni pale alipokutana na mratibu wa Fiesta Soka Bonanza 2011,Shafii Dauda na kumpa kibeji cha Man U atie saini yake kama uonavyo pichani.
Haaa haaaa utamtaka,Mshabiki wa Chelsea akisuburi maandamano yampitie

Liverpool
Man U
Chelsea.

Barcelona
Ac Millan
Picha Kwa Hisani Ya Michuzi
 
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages