KIMBEMBE CHA MVUA JIJINI DAR LEO ASUBUHI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KIMBEMBE CHA MVUA JIJINI DAR LEO ASUBUHI


Gari dogo lenye namba za usajiri T 273 APA, likiwalimetumbukiwa kwenye mtaro pembezoni mwa Barabara ya Bagamoyo njiapanda ya Goba leo asubuhi kutokana na dereva wa gari hiyo kushindwa kuona mwisho wa barabara hiyo iliyojaa maji kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
Mwendesha Pikipiki akikatiza katikati ya Dimbi la maji baada ya njia hiyo eneo la Mbezi Beach kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
Na Sufiani Mafoto.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages