Meneja Mkuu wa Kiwanda cha East Coast Oils and Fats Ltd. Bw. Vekant Police akichangia mpango wa damu salama |
Wafanyakazi wa kiwanda cha East Coast Oil and Fats Ltm wakiendelea na zoezi la uchangiaji damu. |
Uongozi pamoja na wa Wafanyakazi wa Kiwanda cha East Coast Oils and Fats Ltd, kinachotengeneza Mafuta na Sabuni ambacho ni moja ya makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL) leo wamejitolea kuchangia damu ikiwa ni kuitikia wito wa kuchangai damu salama kutokana na kupungua kwa akiba ya damu katika benki za damu nchini Tanzania.
Zoezi hilo limefanyika leo katika Kiwanda hicho kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Zoezi hilo limefanyika leo katika Kiwanda hicho kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Kwa Hisani Ya Mjengwa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)