WAANDISHI WA HABARI WAKIGOMBEA BAHASHA KWENYE GARI LA MADAM RITHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAANDISHI WA HABARI WAKIGOMBEA BAHASHA KWENYE GARI LA MADAM RITHA



Madam Ritha Paulsen leo alikuwa katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam ,akiwa na shughuli maalumu iliyowahusisha waandishi wa habari,. Alipotoka nje ya ukumbi wa Habari Maelezo na kuingia ndani ya gari yake ndipo ilipozuka 'pata shika na nguo kuchanika', Ni pale Madam Ritha alipotoa bahasha kwa mmoja kati ya waandishi, Kilichofuta hapo ni kama uonavyo pichani. Kundi la waandishi walilivamia gari lake na kugombania chochote kitu. Mwishowe Madam Ritha aliondoka kwa kasi kukwepa adha hiyo ya waandishi.(Picha:Mjengwablog)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages