Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akimsindikiza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner, Ikulu Mjini Zanzibar jana,baada ya mazungumzo yao. RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner,Ikulu Mjini Zanzibar jana Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner,Ikulu Mjini Zanziba.Picha na Picha na Ramadhan Othman, Ikul-Zanzibar
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)