ZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE ARIZONA NCHINI MAREKANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE ARIZONA NCHINI MAREKANI



 Mwenyekiti wa Taasisi Ya Wama Mama Salma Kikwete akizungumza pamoja na kujibu maswali  ya wanafunzi wa Thunderbird Scholl of Global Management Hawapo Pichani
 Mwanafunzi wa kitanzania anaesoma Thunderbird Scholl of Global Management Arizona Niky Chokshi akitoa Maelezo kwa Mwenyekiti wa Taasisi Ya Wama Mama Salma Kikwete pamoja na Ujumbe wake
Mwenyekiti wa Taasisi Ya Wama Mama Salma Kikwete,Rais wa Thunderbird Scholl of Global Management Dk Angel Cabrela,Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mheshimiwa Mwanaidi Maajar na Rais wa Project  C.U.R.E  Dk Douglas Jackson pamoja na Mjumbe wa Bodi ya Wama Zakhia Meghjiwakimsikiliza kwa makini Mwanafunzi wa kitanzania anaesoma chuo hapo Niky Chokshiakitoa maelezo ya kozi yake anayochukua
 Picha juu baadhi ya wanafunzi na wanachuo wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Taasisi Ya Wama Mama Salma Kikwete
Mwenyekiti wa Taasisi Ya Wama Mama Salma Kikweteakipata maelezo ya maendeleo ya chuo cha Thunderbird Scholl of Global Managementkutoka kwa Rais wa Chuo Dk Angel Cabrela alipokwenda kuzungumza na wanafunzi wa chuo hicho.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages