Nape Nnauye na John Chiligati wakiwa na baadhi ya wanachama wa CCMNaibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, John Chiligati (katikati) akiwa na viongozi na wanachama wa CCM Mkoa wa Iringa, baada ya kumaliza mkutano wa hadhara kwa ajili ya oparesheni ya 'Vua Gamba' uliofanyika mjini Iringa jana. Wa pili kushoto ni Kamanda wa Vijana wa CCM, Mkoa wa Iringa, Salim Abri.Picha na Mdau Francis Godwin-iringa
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)