ASKARI WA USALAMA BARABARANI WAKIWA LIKIZO HUKU FOLENI YA MAGARI IKIZIDI KUWA KUBWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ASKARI WA USALAMA BARABARANI WAKIWA LIKIZO HUKU FOLENI YA MAGARI IKIZIDI KUWA KUBWA

Askari wa Usalama Barabarani, wakiwa pembezoni mwa barabara ya Uhuru eneo la Mnazi mmoja leo mchana huku magari yakiwa yamesongamana na kufungana eneo hilo kutokana na foleni kuwa kubwa, haikuweza kufahamika kuwa walishindwa kumudu foleni hiyo ama ndiyo Break Time? Si unawacheki hapa wakipiga stori tu kama hawaioni foleni hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages