Eneo hili lilizuiliwa kuchimbwa mchanga, lakini bado wanaonekana baadhi ya vijana ambao imeelezwa kuwa hutumwa na viongozi na kupakia katika maroli jambo ambalo linahatarisha eneo hili. eneo hili akionekana kijana ambaye si mmoja wa vijana wanaopakia katika maroli hukamatwa na kupelekwa Kituo cha Polisi Kawe lakini mbona Maroli yanayopakiwa yakidaiwa ni ya vigogo hayakamatwi? Na Ripota Wa Jiji.Sufiani Mafoto.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)