ZITTO KABWE PAMOJA NA KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI NA MASHIRIKA YA UMMA KUTEMBELEA LUDEWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZITTO KABWE PAMOJA NA KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI NA MASHIRIKA YA UMMA KUTEMBELEA LUDEWA

Mwenyekiti wa kamati ya mashirika ya umma na hesabu za serikali (POAC) Zitto Kabwe ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini Kupitia Chadema akitazama madini ya mchuchuma wilayani Ludewa ,madini hayo yapo nje nje kama yanavyoonekana hapa .
Mwenyekiti wa kamati ya bunge hesabu za mashirika ya umma Zitto Kabwe (wa nne kulia waliosimama)akiwa na wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea madini ya lilanga kwa ajili ya kuzalisha chuma yaliyopo kijiji cha Mdindi wilaya ya Ludewa nyuma yao ni mlima wa madini hayo ,kamati hiyo ilitembelea jana eneo hilo la kueleza kusikitishwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi huo ,aliyechuchumaa chini wa pili kulia ni makamu mwenyekiti wa kamati hiyo Deo Filikunjombe ambaye ni mbunge wa jimbo hilo la Ludewa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages