RAIA WA KIGENI WA WANNE WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AINA YA HEROINE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIA WA KIGENI WA WANNE WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AINA YA HEROINE

RAIA wanne wa  kigeni, Dennis Okechukwu na Paul Obi wote  wa Nigeria, Stani Hycenth wa Afrika Kusini na Shoaib Muhammad Ayaz kutoka Pakistan wakitoka kusomewa  mashitaka ya kula njama na kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya sh. bilioni 2.8, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dar es Salaam,jana.Picha na Bashir Nkromo
---
RAIA wanne wa kigeni waliokamatwa kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine zenye thamani ya Sh2.8bilioni,jana walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka.

Washtakiwa hao ni  Shaib Muhammad Ayaz(23), raia wa Pakistan, Hycenth Stani (43), raia wa Afrika Kusini Chidi Okechu (46), na Paul Ikechukwu Obi( 27), raia wa Nigeria.


Mbele ya Hakimu Mkazi Mustafa Siyami, Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Biswalo Muganga, akisaidiwa na Prosper Mwangamila na Theophili Mutakyawa, alidai kuwa washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka mawili.Kwa Habari zaidi
Bofya na Endelea.....>>>>>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages