YANGA YASIMAMISHWA NA JKT RUVU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

YANGA YASIMAMISHWA NA JKT RUVU

 
Mshambuliaji wa Yanga, Idd Mbaga, akichuana na kiungo wa JKT Ruvu, Kisimba Lwambano.
Miamba ya soka nchini timu ya Yanga jana ilikwamishwa katika mbio zake za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kutoka sare ya bila ya kufungana na timu ya JKT Ruvu.
 
Beki wa JKT Ruvu, Emmanuel Pius (chini) akichuana na  mshambuliaji wa Yanga, Nsa Job

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages