GLOBAL WATWAA KOMBE LA SOKA BONANZA LA WANAHABARI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

GLOBAL WATWAA KOMBE LA SOKA BONANZA LA WANAHABARI

 
Global wakikabidhiwa kombe lao na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi.
TIMU ya mpira wa miguu ya Global Publishers and General Enterprises Ltd, jana ilitwaa kombe la soka katika Bonanza la Vyombo vya habari lililofanyika Cine Club jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mamia ya Wanahabari.

Katika bonanza hilo, mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dk. Emmanuel Nchimbi.Timu ya Global ilitwaa kombe hilo baada ya kuifunga timu ya Uhuru kwa jumla ya penalti 2-1.
Global wakisherehekea ushindi huo na kombe lao.
 
Burudani zikiendelea.
 
Makombe yaliyokuwa yakishindaniwa katika bonanza hilo yakiwa mezani mbele ya mgeni rasmi.

Picha na Haruni Sanchawa / GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages