Kipa Wa Simba Juma Kaseja akiruka Kulia na Mpira kupita kushoto wakati mchezaji wa yanga akipiga penati baada ya mchezaji wa yanga kuchezewa vibaya.
Kipa Wa Simba Juma Kaseja Akiteta Na Mwamuzi
Baadhi Ya Mashabiki Wa Yanga Wakiwa Uwanjani Jioni Hii.
Hapo Juu Ni Mashabiki wa Simba Sport klabu Wakiwa Uwanjani Kufuatilia Kwa Makini
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)