KAMPUNI ya Kishen Enterprises Ltd kwa kushirikiana na Kampuni ya Safe Wheels Tecnologies Ltd, imezindua utaratibu wa kuhakiki ubora pikipiki zake iwanda wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Eline Sikazwe (kushoto), akipata maelezo ya jinsi vifaa vunavyoungwa hadi kukamilika pikipiki, wakati wa uzinduzi wa teknolojia hiyo,juzi Anayempatia maelezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kishen na Safe Wheels, Rajen Solanki (wapili kushoto).Picha na Mdau Bashir Nkromo
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)