WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO


Naibu waziri wa viwanda na biashara Mh. Lazaro Nyalandu(kulia) akizungumza na Mwakilishi mkazi wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia maendeleo ya viwanda (UNIDO) Emanueli Kalenzi(kushoto) .Aliyekaa kushoto kwa Bwana Kalenzi ni Bi Grece Bilingeki. Mazungumzo hayao baina ya mwakilishi wa UNIDO na Waziri Nyalandu yalifanyika leo ofisini kwa  Naibu Waziri.Lengo kuu la mazungumzo hayo ilikuwa ni kuzungumzia  mipango na mikakati mbali mbali ya Wizara na Shirika hilo kwa madhumuni ya kuboresha na kuongeza ufanisi wa Sekta muhimu ya viwanda hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages