KAMATI YA BUNGE YA MASHIRIKA YA UMMA YATOA TATHMINI YA ZIARA YAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMATI YA BUNGE YA MASHIRIKA YA UMMA YATOA TATHMINI YA ZIARA YAKE

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma (POAC), Mh. Zitto Kabwe (Mb) (katikati) akitoa tathmini ya ziara ya kamati hiyo kukagua ufanisi wa miradi ya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) ya Mchuchuma, Liganga na Ngaka South na Shirika la NSSF kuhusu mradi wa Kiwira. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Bw. Erick Maseke na Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Mh. Deo Filikunjombe.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages