Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu taarifa ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Tarehe 8 Machi , 2011 huko Mbagala Zakheim Mkoa wa Dar- Salaam.
Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa mwaka 2011 ni Fursa sawa katika elimu, mafunzo, sayansi na teknolojia; Njia ya Wanawake kupata ajira bora. ( Na kwa lugha ya kingereza ni , Equal access to educations, training, science and technology; Pathway to decent work for women.) Pichani mwengine ni Mkurugenzi Msaidizi katika Wizara hiyo Judy Kizinga.
Picha na Mwanakombo Jumaa (MAELEZO)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)