NSSF YAKABIDHI TIKETI YA NDEGE KWA TASWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NSSF YAKABIDHI TIKETI YA NDEGE KWA TASWA

Juma Kintu (kushoto) mmoja wa Maofisa wa Idara ya Uhusiano na Huduma za Wateja NSSF, akimkabidhi tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi, Maulid Kitenge ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) kwa ajili ya safari ya kwenda Korea Kusini kuhudhuria mkutano wa Chama cha waandishi wa habari za michezo duniani (AIPS) ambako mkutano wa dunia utafanyika.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages