TIGO YATOA ELIMU YA KUJITEGEMEA KWA WAFANYAKAZI WAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TIGO YATOA ELIMU YA KUJITEGEMEA KWA WAFANYAKAZI WAKE

Mkuu wa Mauzo wa Tigo Tanzania, Brahim Nallar (kulia) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (wa pili kushoto) akitoa maelekezo ya huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Mauzo wa Tigo Tanzania, Brahim Nallar (kulia) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto) akizungumza kuhusu huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Meneja Mradi wa Tigo Pesa Tanzania, James Murithi (wa tatu kushoto) akitoa maelekezo ya huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (wa pili kulia) akitoa maelekezo jinsi ya kupata huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa kutumia simu ya mkononi kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages