MIAKA 100 YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MIAKA 100 YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Wanawake wakimfunga kibwebwe mwenzao kuashiria mwisho wa unyonge wao.
WANAWAKE nchini kesho (Jumanne)  wanaungana na wenzao duniani kote kusherehekea miaka 100 ya siku ya wanawake duniani ambapo leo mchana kamera yetu iliwanasa baadhi yao  wakiwa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam katika  kusherehekea, ikiwa ni siku mmoja kabla ya siku ya kilele ambazo zinafanyika kitaifa viwanjani hapo. Katika sherehe hizo wanawake walitoa shuhuda mbalimbali jinsi walivyowahi kunyanyaswa katika jamii na kusema ndiyo mwisho wa unyonge wao.
Mwanamuziki wa Mjomba Band, Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba akisherehesha sherehe hizo.
Msanii wa filamu, Juma Chikoka maarufu kama Chopa akiigiza kama mwanaume katili kwa wanawake.
Wanawake wakiserebuka.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages