WAZIRI MKULO ASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 252.62 NA BENKI YA AFRIKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKULO ASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 252.62 NA BENKI YA AFRIKA

Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, akibadilishana hati ya Mkataba na Mkurugenzi wa benki ya ‘Africa Development’ (AFDB), Gabriel Negatu, ikiwa ni msaada wa Sh. bilioni 251. 62, kwa ajili ya kusaidia Sekta ya maji na Umeme.Hafla hiyo imefanyika kwenye Ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na Vicent Tiganya-MAELEZO
Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kubadilishana hati ya mkataba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages