RAIS JAKAYA ATEMBELEA KIKOSI CHA JESHI CHA ANGA AIRWING DAR ES SALAAM LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS JAKAYA ATEMBELEA KIKOSI CHA JESHI CHA ANGA AIRWING DAR ES SALAAM LEO

Mtaalamu Msaidizi na Rubani wa ndege za kijeshi katika Jeshi la China Plt. Gao, akimfahamisha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete, matumizi ya kitaalam ya urushaji wa ndege ya kijeshi JW 9242 F 7 G kutoka China, wakati Rais alipotembelea kikosi cha Anga cha JWTZ Airwing , jijini Dar es Salaam leo.

Rais Jakaya Kikwete, akiangalia ndege ya kijeshi JW 9242 F 7 G wakati alipotembelea kikosi cha Anga cha JWTZ Airwing Dar es salaam leo.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages