WAKALI WA MUZIKI WA INJILI WAPEWA TUZO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAKALI WA MUZIKI WA INJILI WAPEWA TUZO

Martha Mwaipaja (kushoto) akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike chipukizi kutoka kwa Mchungaji Onesmo Ndege wa kanisa la Living Water, lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
WADAU mbalimbali wa muziki injili waliofanya vizuri mwaka uliopita jana walipewa tuzo mbalimbali katika Tamasha la Muziki wa Injili Tanzania lililofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Martha Mwaipaja akitoa burudani baada ya kupewa tuzo.
Mtoto Miriam Shilwa akipokea tuzo ya Balozi Bora wa Jamii.
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ na Msanii wa kundi la THT Mwasiti Almas  wakifutilia kinachoendelea.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL   
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages