Mbunge wa Arusha Mjini, Mh. Godbless Lema akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, alipoonyesha CD iliyobeba wimbo alioutunga kuelezea vurugu na vifo vya Arusha, kulia ni Katibu wa Kanda ya Kinondoni Chadema Henry Kilowo. Picha na Mdau Venance Nestory
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)