Wanawake wajasiriamali wakimsikiliza Meneja Masoko msaidizi wa benki ya Exim Anita Gosheshy wakati meneja huyo akitoa elimu ya ujasiriamali kwa akina mama hao.
Akizungumzia zaidi malengo ya semina hiyo alisema kuwa benki yake inatambua mchango wa akina mama katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo hivyo mafunzo kwa akina mama hao yatasaidia kuboresha uwezo wao wa kumudu biashara

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)