VODACOM YATOA MSAADA WA JENGO MONDULI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VODACOM YATOA MSAADA WA JENGO MONDULI

 
Mkuu wa Wilaya ya Monduli  Bw.Jowika Kasunga  pamoja na Mkurugenzi  wa Mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba kulia wakifunua jiwe la msingi kuashiria makabidhiano rasmi ya jingo lenye madarasa mawili yaliyojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation katika shule ya Sekondary  ya wasichana ya  Irkisongo iliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kwa thamani ya shilingi Milioni 30.
 
Mkuu wa Wilaya ya Monduli  Bw.Jowika Kasunga (kushoto) akishuhudia Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kaskazini Nguvu Kamando akikata utepe kuashiria kwa makabidhiano  rasmi ya Jengo hilo.
Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondary ya wasichana ya  Irkisongo iliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha,Happiness Nyange (kulia) akimwelezea jambo Mkurugenzi wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba mara baada ya kukabidhi msaada wa jengo.
 
Mkurugenzi mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akipongezwa na wanafunzi wa shule hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages