BOMOA BOMOA YAWAKUMBA WAFANYABIASHARA 'BIG BROTHER' - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BOMOA BOMOA YAWAKUMBA WAFANYABIASHARA 'BIG BROTHER'

 
Wafanyabiashara wakiondoa masalia ya mabanda yao.
 WAFANYABIASHARA wa soko la mitumba la Urafiki jijini Dar es Salaam, maarufu kama 'Big Brother' wameelezea kilio chao baada ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuwavunjia mabanda yao ya biashara usiku wa kuamkia leo. Wafanyabishara hao wamesema uvunjaji huo umewasababishia hasara kubwa ikiwemo kupoteza mali zao walizolaza sokoni hapo.

 
Kila mtu akiondoa chake.
 
Mfanyabishara huyu akisalimisha furushi lake la mitumba alilolikuta.
Kwa Habari Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages