WADAU WA SANAA WAAPA KUPAMBANA NA RUSHWA, DHURUMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WADAU WA SANAA WAAPA KUPAMBANA NA RUSHWA, DHURUMA



Mkongwe wa dansi nchini Mzee Kassim Mapili (kulia) akimpa makabrasha msanii Vitali Maembe ili ayatumie kwenye mapambano dhidi ya dhuluma kwa wasanii na jamii kwa ujumla.
 
Warembo wanaowania taji la Miss Utalii wakiungana na Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche Materego (Katikati aliyevaa suti nyeusi) kusakata muziki uliokuwa unaporomoshwa jukwaani na msanii Vitali Maembe kwenye Jukwaa la Sanaa Jumatatu ya wiki hii.
Warembo wa Miss Utalii wakicheza moja ya ngoma ya asili kwenye Jukwaa la Sanaa.
 
Nyomi kwenye Jukwaa la Sanaa. Kwa sasa linakua kwa kasi na kuvuta watu kutoka pande mbalimbali za jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake.
 
Baadhi ya wadau wa Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila Jumatatu kwenye Ukumbi wa BASATA wakinyoosha mikono juu kama ishara ya kula kiapo cha kupambana na rushwa, uvivu na kutokuwajibika.Kiapo hicho kiliongozwa na Msanii maarufu wa muziki wa falsafa,Vitalii Maembe aka Sumu ya Teja.
Kwa taarifa Zaidi  <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages