TWIGA STARS WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA MWENDESHA BAISKELI KUTOKA HISPANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TWIGA STARS WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA MWENDESHA BAISKELI KUTOKA HISPANIA


Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara ( kulia) akisaini mpira ambao alimkabidhi mshiriki wa mchezo wa kuendesha baiskeli kutoka nchini Hispania, Joan Menendez Granados mara baada ya kuikabidhi Twiga Stars vifaa vya michezo leo jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia (nyuma) ni baadhi ya wachezaji wa Twiga Stars.

Naibu waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (wa pili kulia) akipokea mipira kutoka kwa mshiriki wa mchezo wa kuendesha baiskeli kutoka nchini Hispania, Joan Menendez Granados (wa pili kushoto) kwa lengo la kuisaidia timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu ( Twiga Stars) na pia kutambua uwezo wao katika ushiriki wa michezo mbalimbali ya kimataifa leo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages