DK BILAL AFUNGUA KITUO CHA TIBA KWA WAATHIRIKA WA UKIMWI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DK BILAL AFUNGUA KITUO CHA TIBA KWA WAATHIRIKA WA UKIMWI MBEYA

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanoa Dk. Mohamed Gharib Bilal (katikati), kulia Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Abbott Fund Tanzania Andy Wilson, kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. John Mwakipesile, wakikata utepe kuzindua kituo cha huduma za tiba kwa ajili ya watoto walioathirika na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi Mkoani Mbeya leo, kituo hicho kimejengwa kwa msaada wa mfuko wa Abbott Fund kutoka Marekani.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages