JAPHET KASEBA KUZIPIGA NA MADA MAUGO APRILI 16 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JAPHET KASEBA KUZIPIGA NA MADA MAUGO APRILI 16

 
Rais wa (TPBO) Yassin Abdallah Ustaadh, akiongea na waandishi wa habari leo wakati alipotambulisha pambano la ngumi, kati ya mabondia Japhet Kaseba na Mada Maugo liitakalofanyika jumamosi Aprili 16 kwenye ukumbi wa PTA  Sabasaba jijini Dar es salaam. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa idara ya habari Maelezo , (kulia) ni promota wa pambano hilo Bw. Khalifa Kipao.

 
Bondia Japhet Kaseba akiongea mbele ya waandishi wa habari, wakati alipokuwa akielezea jinsi atakavyomkabili mpinzani wake Mada Maugo siku hiyo ya aprili 16 kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba, kushoto ni promota wa pambano hilo Khalifa Kipao.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages