SONGAS YAANZA KUINGIZA MITAMBO YA KUWASHA UMEME KUPUNGUZA HADHA YA MGAWO WA UMEME NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SONGAS YAANZA KUINGIZA MITAMBO YA KUWASHA UMEME KUPUNGUZA HADHA YA MGAWO WA UMEME NCHINI

Magari ya yakiwa yamebeba mitambno ya kufua Umeme ya Kampuni ya Songas yakiwa yamepaki nje ya Kampuni hiyo tayari kwa kuingizwa ndani. Mitambo hiyo iliyobebwa na Magari hayo inadaiwa ni moja ya jitiada za kampuni hiyo ya Songas ya kuanza kuzalisha umeme baada ya mitambo ya Dowans kuzimwa na kusababisha tatizo la umeme ambao bado ni tete hadi sasa kutokana na mgao unaoendelea usiojulikana mwisho wake.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages