RAISI KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Fanuel Mbonde kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu kwenye sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi kabla ya Safari kuelekea nchini Ufaransa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa pili kulia akiwa kwenye picha ya pamoja na Makatibu Wakuu walioapishwa jana Ikulu. Weninge  ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) ,Mhe.Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal (wa pili kushoto) pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi ndugu Phillemon Luhanjo (wa kwanza kushoto).Picha na Anna Itende-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages