Makatibu Wakuu Wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Wafanya Kikao cha Pamoja cha Kujadili Changamoto za Muungano - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makatibu Wakuu Wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Wafanya Kikao cha Pamoja cha Kujadili Changamoto za Muungano

 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava Mara Baada ya Rais Jakaya Kikwete Kuapisha Makatibu wakuu Ikulu
 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava akiogoza Kikao cha Pamoja cha  Makatibu wa Kuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kujadili changamoto  za Muungano
Kwa taarifa zaidi <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages