Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Bw. Loccam Fullam alipofika Ikulu jana kuonana na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimsindikiza Balozi wa Ireland nchini Bw. Loccam Fullam alipofika Ikulu jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Cuba nchini Bw. Emesto Gomez alipofika Ikulu jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Cuba nchini Bw. Emesto Gomez alipofika Ikulu jana kuonana na Rais.
Picha na Ramadhan Othman-Ikulu, Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)