WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA KAGERA SUGAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA KAGERA SUGAR

 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wakurugenzi wa kiwanda cha sukari cha Kagera, Nasor Seif (kushoto) na Seif Seif (katikati) wakati alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera jana. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Bukoba Mjini, Khamis Kagasheki.
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo ya umwagiliaji katika shamba la miwa la kiwanda cha sukari cha Kagera wakati alipokitembelea akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera jana. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa huo, Mohamed Babu.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages