DK BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA VIONGOZI WA TAKUKURU LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DK BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA VIONGOZI WA TAKUKURU LEO

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU, Dk. Edward Hosea akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal (kushoto) baada ya Makamu wa Rais kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU katika Hoeli ya Naura Spring mjini Arusha leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal (wa tatu kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dk. Edward Hosea (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Makamu wa Rais kufungua mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU katika Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha leo.
Picha zote na Amour Nassor VPO.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages